Wenye chunusi usoni.
Pima kijiko kimoja cha chai cha Aunt Zainab's Super Clay, tia kwenye kibakuli au kikombe kisafi, tia maji kidogo koroga na changanya mpaka udongo na maji vichanganyike viwe kama (paste), paka usoni kote, wacha udongo ukaukie usoni halafu kosha kwa maji safi, wakati unaosha uso fanya kama una scrub kidogo kidogo.
Fanya hivyo kila siku mara moja, baada ya wiki moja tunaomba tuwekee majibu.
Nashauri wataokafanya hivyo wajipige picha kabla na kila siku, wajionee matokeo.