Ndugu wana Chadema wenzangu napenda kutoa tahadhari ya hali ya juu... Tusipende kujipa moyo ya kuwa tutashainda.. Tutambue ya kuwa tunachangamoto kubwa sana ya kulikomboa hili jimbo... Lazima chama kiwe na mipango madhubuti... Wenzetu wamejipanga kwa sera chafu na kwa kumwaga hela...