KAMANDA HANGA
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 158
- 58
Huyo Dickson Mpemba siyo CCM ni mtoto wa CUF anaitwa ADCCM.Mbona nanyi CCM mnazusha mengi mno kuhusu CDM? Kweli nyani haoni.....
Kwanza naamini kabisa siku hiyo ya ufunguzi wa kampeni ya CCM Mkapa atakuwa ameutwisha, yaani kaunyaka vilivyo. Anafanya hivi ili kuondoa macho ya aibu mbele ya Watz kutokana na madhambi aliyofanya kwao.
Lakini hapa CDM wakicheza karata yao vizuri wanaweza kuibomoa CCM live kabisa. Nawashauri wapange mkutano wao wa ufunguzi baada ya huo wa Mkapa, hasa siku ya pili yake. Halafu wampeleke Marando na Tundu Lissu na Lema kummaliza Mkapa.
Wakati jimbo la Arusha mjini likichukuliwa na kamanda Lema kwani wakati huo alikuwa hakuzaliwa tengeru.Tetesi!
Nasikia ccm wamemtuma siyoi na chligati kukutana na lowasa kumwomba rasmi kuweka nguvu zake hadharani katika kuhakikisha jimbo linabaki chini ya miliki yao. Hii ni kutokana na nguvu ya chadema ktk jimbo hilo, ccm kujikuta hoehae kipesa na kikubwa zaidi ni nguvu aliyonayo lowasa katika jimbo hilo ukichukulia kuwa yeye kazaliwa tengeru jimboni humo na mama yake ni mmeru na hata best man wake wa ndoa ni mmeru kutoka ukoo wa Nyiti.
Mkuu umetoa hoja yenye maana sana, si vizuri kuibeza kishabiki kwa kuwa haija ridhisha nafsi, matarajio, mapenzi na matakwa binafsi. Hapa la msingi sio kwamba chadema wasahau ushindi, la hasha; bali hii hoja iwe chachu ya kuongeza juhudi binafsi katika mapambano ya haki, kuelimisha wana arumeru, na kubwa zaidi kulinda kura zetu. Lowasa kweli mzaliwa wa meru na mama yake mmeru original na best man wao alitoka ktk ukoo wa Nyiti ambao ndo hao washiri. Vilevile vijana wengi wa kimeru hawajendaa shule wameishia mererani kutumikishwa ktk machimbo na hawajajiandikisha, sio wakutegemewa na upinzani ulio makini. Tujipange la sivyo mtoa hoja hajakosea.
Wanajamvi:
Habari nilizopata kutoka Arumeru kwamba vijana wengi wa CCM huko wanaona hawaafiki hatua ya chama chao kumtumia fisadi ambaye wamempachika jina la baba wa ufisadi yaani Benjamin Mkapa kufungua na kufunga mikutano ya kampeni.
Wanasema huyu anahusika sana na kuruhusu ufisadi wa EPA, Deep Green, Radar, kuuza nyumba za serikali na mengineyo, na wanadai bila shaka alifaidika na fisidi hizo dhidi ya wananchi wa Tanzania
Wanasema pia Mkapa alijimilikisha mgodi wa makaa yam awe wa Kiwira. Hivyo wanasema ni tusi kubwa kwa wakazi wa Arumeru na Watanzania kwa ujumla kumteua fisadi huyo kuwafungulia kampeni kwani wanaona ana husika sana katika kuifilisi nchi na hivyo kuwafanya vijana wan chi hii kukosa mwelekeo kuwapo kwa elimu duni na kuzorota kwa huduma nyingine za serikali kwa raia.
Kuna wengine wanasema siku ya mkutano wa kampeni watakwenda na mabango kuwakumbusha wananchi wa Arumeru kuhusu uovu wa mtu huyu.
kulinganisha na watu gani?.... karatu? au kigoma kaskazini?Nionavyo mimi hapo kwenye red pafanyiwe kazi sana. hawa watu ni illiterate sana kiasi hawawezi kuwa na msimamo hata kidogo. You might be right. Lakini matokeoa ya uchaguzi uliopita yanaonyesha anakubalika. Lakini watu hawaaminiki.