Arumeru Mashariki 2015 CHADEMA waja na mtazamo mpya

Arumeru Mashariki 2015 CHADEMA waja na mtazamo mpya

IdealBen

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwamba MP wa Arumeru mashariki,Mh.Nassary hakubaliki tena na wananchi wajimbo lake kutokana na kutotekeleza ahadi nyng alizowahaid wanarumeru,,wanadai pia kina mbowe hawamkubali Nassary maana anasema kwamba Mbunge wa Kigoma kask.akutendewa haki na Uongozi wa chadema,,,sasa nashindwa kuelew mustakal wa wana cdm mara viongozi wengine wanasema watampitisha Samweli Shamy weny kura za maoni kama mgombea wao,Samweli shamy ni mjumbe wa kamati kuu ya Cdm,,,ndug wanaarumeru mashariki mliopo humu ndani mnasemaje kuhusu hili jambo??
 
Tanzania ilikua bado haijatengemaa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na demokrasia kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom