[h=5] Arumeru Magharibi kwa chafuku Chadema wavamia ccm yataharuki niko hapa mkutanoni ni balaha WAtu ni wengi kama mnavyo juwa arumeru inaongozwa na magamba Leo wananchi wamejitokeza wanarudisha kadi na kukabidhiwa za CDM kiukweli Lema Joshua Nasary bado hawajawasili ila magamba yanavuliwa mbaya HAKUNA KULALA HADI WALALE WAO
[/h]http://www.facebook.com/groups/tanurulafikra/#

Halafu edit kidogo.
Kamanda Imma Saro nakuaminia mkuu, asante kwa taarifa, usisahau kutupia mapich kaka. kama vipi nielekeze ni wapi mkutano unafanyika nitie timu hapo tiwapatie wadau picha tafadhali.
Makamanda Crashwise, yegella na Curriculum Specialist tuambieni hii kitu inafanyikia kipande gani
Wangemwita na Slaa na yeye arudishe kadi ya CCM.
Tuwekee picha tufaudu!!
Kwa jinsi ninavyoifahamu cdm sihitaji hata picha hii kazi ya utomaso nawaachia wengine