Arumeru kunazidi kupamba moto!

Hamna lolote .........upuuuzi mtupu. Kwani alisubiri baba yake afe aje kukutuma huku ?
 
Niliposoma kichwa cha topic nikazani uchaguzi umemalizika na mshindi katangazwa! Niliposoma ndani nikagundua kumbe kichaa wa CCM kaamua kuuraghai Umma..... She**i kabisa tena wanakucameroon!
 
Hata kama umelipwa na Sioi, wenzako hawafanyagi kihivyo............hii iko wazi mno.
 
Mimi naitwa Naoa S. Sumari, nami nachukua fomu kwa tiketi ya CCM ili mtupambanishe Sioi S. Sumari ili kujua nani anayeweza kuongea kwa lugha ya kawaida kabisa ikaweza kuelekeweka na watu wa aina yoyote.
 
Kama hamjui Sioi ni jina la heshima,mtu mwenye siha njema na nakuhakikishia wanawake wakisikia hilo jina tu,kura anazo zote.
 

Watu wa Kada yako ndio wanaotuharibia Chama pamoja na kuwadhoofisha wale wanaogombea hata kabla muda haujafika. Its very unbecoming kuchukua maneno ya vijiweni na kuya'paste' humu as if ni kitu ambacho kimeshathibitika. Kwanza huwezi kukisemea Chama ambacho kina vikao vyake hali vya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa na Taifa katika kufanya maamuzi hii ni hatari sana lakini pili huwezi kutushawishi kwa kutumia hilo neno uliloita HAIBA nzuri au kuongea lugha ya kawaida kama kigezo cha Sioi kuwa Mbunge futa kabisa manake hizo sifa ni 0.5% kati ya 100%, Ubunge si kuchuma kahawa au kupanda mahindi shambani kwanza majority tumeshangazwa na Sioi katokea wapi na nini lengo lake ila kwa kuwa ana haki Kikatiba tumeona naye anaweza kuwa anajaribu kujijenga for the future ila kwa hali ya Arumeru ushawishi wako ni sawa na Ngamia kupita tunduni mwa Sindano........ Acha vikao halali vya Chama vifanye uamuzi and stop acting childshly....... Na hiyo imani yako ati ya maji kupita......... ibaki kuwa yako wewe kutoka Ndoombo ila usiwasemee wengine kutoka Mulala, Nkoanekoli, Patandi, Nkoaranga na kwingineko......

Ni hayo tu Mkuu Laleo
 
Aisee hilo ni shairi la wimbo wa rusha roho unaouandaa kwa ajili ya kampeni za magamba siyo?? Pesa ya CCM siku hizi hata si tamu tena
 
Wewe ni mpuuuuuuuuuuuuuuzi na toa upuuuuuuuuuuuuuzi wako hapa JF. AENDE AKAGOMBEE UBUNGE PALE ROSE GARDEN
 
Yayaaaaaa, nimeipenda hiyo, na kwa kweli nadhani Laleo unastahili kazi uliyopata kwa Mwanamke shujaa, hasa ukizingatia ujira wake si mchezo!!!!
 
kwa kua hakuna anaeweza kumshinda, haina haja ya kampeni aende tu wilayani akasubiri kutangazwa mshindi.
 

Je? arumeru mashariki ni jimbo la kifalme?,kwa nini unang'ang'ania uwe ukoo wa kina sumari tu

Ina maana hakuna watu wengine wenye kuweza kuleta maendeleo kwa uongozi thabiti na wenye kutukuka?

Ebu taja walau mfano halisi wa maendeleo jimboni aliouacha marehemu sumari unaoweza kutushawishi tukubali pendekezo lako?

Na hao watu wa kawaida si ndio hao kina MAJI MAREFU steven ngonyani anayekataa hoja binafsi bungeni kuhusu ufufuaji wa zao la mkonge,wakati jimbo lake likiwa na wahanga lukuki wa ukosefu wa ajira kutokana na zao hilo kudorora!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…