bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,863
....vumilia.......
...huyo ni mume wako 'usishindane' naye...
....vumilia.......
Na wewe umezidi kuwa siriaz ndo maana unazeeka kabla ya umri wako. Kama unajua ......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing.... Nini kinachokuumiza kichwa kwa hii ishu ya ndugu yako? Let her dance and enjoy the party..We nae hebu rudi kitandani kwako!!
Babu kwenye mMain thread inasema ni rafiki yetu kifamilia (Family friend) na si shogaangu! Ni mtu ninayemuheshimu. Kama sikuwahi kuhisi achilia mbali kujua kama ana-mshefa, ningeonyeshwa saa ngapi?
We nae hebu rudi kitandani kwako!!
Babu kwenye mMain thread inasema ni rafiki yetu kifamilia (Family friend) na si shogaangu! Ni mtu ninayemuheshimu. Kama sikuwahi kuhisi achilia mbali kujua kama ana-mshefa, ningeonyeshwa saa ngapi?
Hili ni swali la msingi sana nyamayao................ nadhani tunatakiwa tuwe makini sana katika kushauri hapa. Mwe nahisi hili lingekuja kwenye mtihani wa masomo kama Social Work mimi ningefall flat.............yaani katika yote hii mada hata mie imeniachia na mapya mengi juu ya mahusiano!hivi mnajuaje kama huyu dada alifanya revenge au alifanya coz kama binadamu kamili anahitaji kitimiziwa hilo hitaji?
Hata mimi nimejiuliza hivyo hivyo.
Lakini kwa vile tunaambiwa eti 'mwanamke hawezi kucheat bila sababu' (whatever the hell that means) basi eti lazima mumewe ndo atakuwa kampa hiyo sababu.
Sasa mimi nashindwa kuelewa. Kwani kucheat kwa sababu ya tamaa yenyewe si sababu hadi sababu isababishwe na mume? Haiingii kichwani kabisa.
bht samahani nikuombe mimi nadhani nimechanganya pints katika post yangu. Si kwamba nakulaumu la hasa bali nimefurahi umepanua wigo wa discussion. Hiyo point ya kumnyooshea kidole nilikuwa naiaddress kwa wachangiaji wote including me mydiaMJ1 samahani kama nimeonekana kumnyooshea saana dada kidole. na pia sikutaka yeye awe mimi au mtu mwingine yeyote humu na kamwe hatutafana.
pointi yangu ya mkazi imekuwa dada aamue mwenyewe kubadilika na si vinginevyo. sisi tutashauri ahame mji, abadili simu, amwambie mume amsaidie kumkanya mshefa, nk. lakini mwamuzi wa mwisho ni yeye tu. kinyume na hapo ndo tunaishia kuishi maisha ya maigizo kwa sababu jamii ndo inatutaka tuishi hivo (sio sisi tutakavyo tena)
samahani tena lakini yote yalikuwa ni katika kupanua uwanja wa majadiliano ili tupate suluhisho la tatizo.
MJ1 samahani kama nimeonekana kumnyooshea saana dada kidole. na pia sikutaka yeye awe mimi au mtu mwingine yeyote humu na kamwe hatutafana.
pointi yangu ya mkazi imekuwa dada aamue mwenyewe kubadilika na si vinginevyo. sisi tutashauri ahame mji, abadili simu, amwambie mume amsaidie kumkanya mshefa, nk. lakini mwamuzi wa mwisho ni yeye tu. kinyume na hapo ndo tunaishia kuishi maisha ya maigizo kwa sababu jamii ndo inatutaka tuishi hivo (sio sisi tutakavyo tena)
samahani tena lakini yote yalikuwa ni katika kupanua uwanja wa majadiliano ili tupate suluhisho la tatizo.
My thing is, if you cheated the last time what is going to stop you from cheating the next time? If you couldn't stop yourself from cheating the last time what is going to stop you from cheating the next time?

Na wewe umezidi kuwa siriaz ndo maana unazeeka kabla ya umri wako. Kama unajua ......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing.... Nini kinachokuumiza kichwa kwa hii ishu ya ndugu yako? Let her dance and enjoy the party..
...huyo ni mume wako 'usishindane' naye...
umesema vizuri kabisa kwenye moja ya post zako hapo juu, kuchiti ni kuchiti tu bila kujali sababu iliyokupelekea kufanya hivo....hapo nakubali mia ya mia.
kwenye uvumilivu wa -30 kwenye mambo haya ukasema hapa labda uwe ulianza wewe kutoka (umekuwa sababu) which is the case kwa huyu dada....hapa kwenye hili sasa ndo wanaume mnapojipendelea hapa.
bht samahani nikuombe mimi nadhani nimechanganya pints katika post yangu. Si kwamba nakulaumu la hasa bali nimefurahi umepanua wigo wa discussion. Hiyo point ya kumnyooshea kidole nilikuwa naiaddress kwa wachangiaji wote including me mydia
Sorry for the confusion bana
....vumilia.......
...huyo ni mume wako 'usishindane' naye...
umeona eeehhh...mie cmrushii huyu dada jiwe ng'o kitendo alichokifanya ndicho alichodhani kitampa matumaini kwenye c2ation aliyokuwa nayo....hapa tu nicctize kama unavyocctiza kwamba ni maamuzi yake mwenyewe kuamua kuachana na mshefa, hata ashauriwe vipi kama hajaamua hakuna kitakachoeleweka.
kwenye uvumilivu wa -30 kwenye mambo haya ukasema hapa labda uwe ulianza wewe kutoka (umekuwa sababu) which is the case kwa huyu dada....hapa kwenye hili sasa ndo wanaume mnapojipendelea hapa.
Hahahahahahah........Upo B??
Ndege wengine wote ni ruksa kulia ila akilia bundi.......Mhhhh...unaweza kumalizia!!
Nothing really...unless she has learned her lesson.