Arudisha pochi ya fedha

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
208
462
Msichana mmoja huko Cuxhaven, pwani ya Bahari ya Kaskazini nchini Ujerumani amerudisha pochi iliyokuwa na yuro 7,371.04 ambayo ni sawa na shilingi milioni 19,164 za Tanzania. Msichana huyo alimrudishia mmiliki wa pochi hiyo bila ya kuchukua fedha hizo.

Polisi wa eneo hilo wamesema kwamba msichana huyo mwaminifu alipiga simu Jumamosi jioni na kusema ameokota pochi hiyo ilijaa kitita hicho cha fedha karibu na eneo la ujenzi kwenye wilaya ya Lüdingworth na kuikabidhi kwa Mwenye fedha
1701110311069.jpg
 
Msichana mmoja huko Cuxhaven, pwani ya Bahari ya Kaskazini nchini Ujerumani amerudisha pochi iliyokuwa na yuro 7,371.04 ambayo ni sawa na shilingi milioni 19,164 za Tanzania. Msichana huyo alimrudishia mmiliki wa pochi hiyo bila ya kuchukua fedha hizo.

Polisi wa eneo hilo wamesema kwamba msichana huyo mwaminifu alipiga simu Jumamosi jioni na kusema ameokota pochi hiyo ilijaa kitita hicho cha fedha karibu na eneo la ujenzi kwenye wilaya ya Lüdingworth na kuikabidhi kwa Mwenye fedhaView attachment 2826989
mimi wangeniokota kaunta ya bar!!!!
 
Ni afadhali kwani kuna kijana hapa Zanzibar katumiwa pesa kwa Tigo pesa , mletaji kakosea nambari ya simu zimemfikia Mgalatia Tanganyika , aqlipopigiwa simu , mgalatia kakauka waziwazi, katamka katu sizileti,

Lakini si wa kumlaumu ni kuilamu CCM na Mgalatia Nyerere kwa uvamizi wa watanganyika kwa Zanzibar kwani utamaduni huo haukuweko hapa kwetu miaka kabla uvamizi unaoitwa muungano
 
Ni afadhali kwani kuna kijana hapa Zanzibar katumiwa pesa kwa Tigo pesa , mletaji kakosea nambari ya simu zimemfikia Mgalatia Tanganyika , aqlipopigiwa simu , mgalatia kakauka waziwazi, katamka katu sizileti,

Lakini si wa kumlaumu ni kuilamu CCM na Mgalatia Nyerere kwa uvamizi wa watanganyika kwa Zanzibar kwani utamaduni huo haukuweko hapa kwetu miaka kabla uvamizi unaitwa muungano
Ndo mkaandamane sasa kudai uhuru wenu siyo mnakaa kulialia kwa vidole juu na mipasho hapa.....
 
Back
Top Bottom