luganolugy
Member
- Oct 13, 2016
- 37
- 5
MwongoWatoto wa masikini ndio huwa wanasoma masomo ya sayansi .Hawa huwa wana juhudi sana ili waweze kujikwamua maana wanajua elimu ndio silaha pekee waliyo nayo
Mwongo
Wewe ulisoma shule ya kata au ya tarafa ???? Maana shule za kata wahitimu tulianza sisi 2008 shule zilikua no laboratory utasomaje PCM,PCBSawa
Mimi nimesoma shule ya kata.Nikatoka nikaenda Tabora Boys... Classmates wengine wakaenda Kibaha,Musoma Tech,Nganza,Milambo,moshi tech. na wengine wakaenda day Mkolani
Now wengine wapo mining engineering Udom,Civil engineering coet,pharmacy Muhas,archtecture ardhi,md KCMC,
Wote hao wametoka kwenye familia za kawaida sema walikua na commitment za hatari na walikua wanajituma sana
Wenzetu waliokua wanasoma Thaqaafa na Taqwa wapo mtaani wengine majeshi
Wewe ulisoma shule ya kata au ya tarafa ???? Maana shule za kata wahitimu tulianza sisi 2008 shule zilikua no laboratory utasomaje PCM,PCB
Siyo kweli usemayo.Jaribu kuwa serious ili ufumbuzi upatikane.Vijana wakirudi mitaani ni hatari.Nchi hii ni yetu sote na mtoto ni wako akiwa tumboni akishazaliwa bi wetu sote kama taifaKuna alternative to practical
Wewe ulisoma shule ya kata au ya tarafa ???? Maana shule za kata wahitimu tulianza sisi 2008 shule zilikua no laboratory utasomaje PCM,PCB
C Kweli masikini husoma shule za kata maana wazazi kushndwa kugawa mahtaji ucka pia shule nyng za kata hakna walimu wa sayansWatoto wa masikini ndio huwa wanasoma masomo ya sayansi .Hawa huwa wana juhudi sana ili waweze kujikwamua maana wanajua elimu ndio silaha pekee waliyo nayo