Ni vizuri karibia ya entrepreneurs wote hapa ni watoto wa Kiafrika ila kinachosikitisha tu watakosa support toka serikalini. Usishangae akagombezwa na wabunge aache utundu aende madrasa ama Sunday school kama wenzake.