Article mbaya zaidi kuhusu Tanzania!

Mbona yote hayo ni kweli tu..

Na bado. Kauli kama zile za RC wa mbeya na iringa kuwa wawakilishi halali wa wananchi hawatakiwi, ni lazima wawe wa chama chao, yatazidi kuharibu mambo
 
Break muhimu , Acha dunia ijue, huyu mshamba kwa chuki,visasi,Kiburi vinavyo haribu umoja na ustawi wa taifa letu.
Dunia ndio nini? Mbona mnakuwa watumwa wa fikra namna hii? Washington Post ndio nini, pumbaaaaaaavuuuuuuu
 
Hahahaha
Unategemea nini
Washington post imeshindwa kwa kashogi na mfalme hasira zao wana tutupia sisi
Too obvious
Wakafie na ushoga wao
Gazeti la mashoga watupu
 
Membe our president

Your president. Not ours. Rais wangu kwa sasa ni Magufuli haijalishi ana udhaifu gani ila ndiye Rais wangu.

Ajaye baada ya Magufuli bado hatujamjua maana hakuna aijuaye kesho...hata huyo Membe hakuna aijuaye kesho yake.
 
Hahahaha
Unategemea nini
Washington post imeshindwa kwa kashogi na mfalme hasira zao wana tutupia sisi
Too obvious
Wakafie na ushoga wao
Gazeti la mashoga watupu
Nina hofu kuwa wapo baadhi ya watu wanaweza kuwa na sura za binadamu lakini akili zao zinashabihiana sana na za nyani au sokwe.

Jitahidi hata mara moja moja uige tabia za kibinadamu.
 
Back
Top Bottom