bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Kocha mbishi na bahili mfaransa Arsene wenger amesajili mchezaji wa pili kutimiza lile lengo lake la kuimarisha kikosi... chezaji huyo si mwingine bali ni matheu flamini aliyemsajili for free baada ya kuachwa na timu yake ya ac milan.... huyu ni mchezaji wa pili baada ya kusajili for free kinda wa kifaransa sanogo!!!