ARV JF-Expert Member Sep 6, 2011 4,975 6,971 Sep 10, 2011 #1 Teh teh...Bolton kumbe ni wababe kuliko wale jamaa zetu waliofungwa nane!wao(bolton)wamefungwa tano tu.roooney kaondoka tena na mpira,mpaka ligi iishe chumbani kwake kutajaa mipira, teh teh!
Teh teh...Bolton kumbe ni wababe kuliko wale jamaa zetu waliofungwa nane!wao(bolton)wamefungwa tano tu.roooney kaondoka tena na mpira,mpaka ligi iishe chumbani kwake kutajaa mipira, teh teh!
chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 204 Sep 10, 2011 #4 Kumbe wana arsenale ndo mna matuthi ivo tehe tehe