Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,807
- 218,456
Hii timu inatia aibu sana !Gari la mkaaa hilooo tripu shambaaaaa turipu gerejiii
Nakuhakikishia hii timu ikikutana hata na hii simba yetu itachapwa tu , tangu mwanzo ukiangalia wachezaji wake unajua kabisa wanafungwa .ndo miezi yao hii kuboronga
HaaaaNi mambo ya aibu sana ! Kuumia kwa mchezaji mmoja tu aitwaye Mustafi timu imekongoroka !
Poleni washabiki wa timu hii.
Tunawakaribisha mashabiki wa arsenal wahamie chelsea tu. Watapata matibabu ya magonjwa ya moyo na presha bureChealse Oyeeeeee¡¡¡¡¡¡
Basi tufanye hivi , leo Arsenal kashinda bao 1-2 .Hujui mpira wewe
Sure !Tunawakaribisha mashabiki wa arsenal wahamie chelsea tu. Watapata matibabu ya magonjwa ya moyo na presha bure
Safari hii wakiwemo kwenye top 4 najiuzulu ukocha , na kama arsenal wakicheza ligi ya mabingwa mwakani itakuwa kashfa kubwa kwa ligi ya uingereza , hii timu ni mbovu kabisa .Arsenal huwa wanataka nafasi ya Nne ili wacheze UEFA na huko hatua hii ndio wanatoka wapo na Munich tena! wanafata hela tuu za kushinda makundi na si ubingwa kwa Litimu Libovu kama Lile...