Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Mkuu vipi the BLUES wanacheza lini.
sasa hv wanacheza na Swansea wako 2-0
Mkuu vipi the BLUES wanacheza lini.
Penatiii
rvp katungua mtu
Mkuu vipi the BLUES wanacheza lini.
Rvp nîni tena?
Chelsea FT kashinda 2-0 Swansea
arsenal komaeni mtaumbuka.!!
kweli tukichezea shilingi itatutoka
kweli tukichezea shilingi itatutoka
ngoma imemalizika 1 - 1