Arsenal Vs Leicester City. Mkubwa anaadhirika kwake leo

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,861
67,351
Leo Leicester City anakata rasmi kelele za Arsenal kuhusu Ubingwa.
Mpira unaanza muda mchache ujao.
Wale Team Leicester tujuane mapema...
 
So far Arsenal wapo vizuri zaidi. Sioni dalili za Leicester kupata matokeo hapa.
 
Nimefurahi sana leo mkajua tutachezea mkafurahiiiiii wenyewe but dakika 90 zimeamua.
 
Back
Top Bottom