Arsenal vs. Chelsea: Time, Live Stream links

Chelsea lazima tuwapige Hawa watoto
 
Arsenal wanacheza mpira mzuri na wa kueleweka, kuanzia beki mpaka viungo wameweza kumiliki mpira ipasavyo ila huku mbele ktk kutengeneza nafasi ya kushinda ndo hapajatulia. Team inacheza vema kwa ujumla.
 
Chelsea inapoteza mipira kwa uzembe, wakipata mpira hata pasi 7 hawafikishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…