chelsea ikitufunga leo naomba nipigwe BAN ya wiki nzima
Noted. Nitakupatia ban Kama ulivyoomba iwapo mtafungwa ili iwe fundisho.chelsea ikitufunga leo naomba nipigwe BAN ya wiki nzima
Matokeo ya leo Arsenal tatu (3) Chelsea moja (1)...the gunners
Yani Leo lazima tuwaduge Hawa watoto Wa Emirates!
Huyu mtu anaeitwa 'Mourinho' kwenye Jukwaa hili sijui katotelea wapi.
Oya kaa kimya wewe!
Mpira ukiisha upite tena kila thread na Jukwaa kusema unachosema sasa..