Unamshukuru kwa lipi?
Arsenal ni hukohuko FA na EPL lakini hii CL sio ligi yake anaongeza nafasi tu. CL ina wenyewe
Tutalala bila kelele
Not quite over yet. Two missed penalties
Sawa tupeni lenu jipya
we nae wale waleDah!leo huku uswazi ni shwaari hamna ile milipuko ya shangwe nyakati za usiku,ngoja tulale kwa raha zetu!poleni sana,yaani mlijipa moyo mtaifunga Bayern,hivi ukimuona sungura anafurukuta chini ya miguu ya kitimoto ujue anapigana au anakanyagwa?
Si kwa sababu anapenda ulaini, team zilizotengenezwa na wanaume wenzake
Kabati limekuwa tupu since 2006. Msije mwisho wa siku mkauza hadi kabati
mkuu lete stori bana usiwajal hao, kichapo haki yenu
Hakiuzwi kitu na ndio maana mabadiko msimu huu
Tutalala bila kelele
Kila la heri mkuu
Unaweza weka vote yako hapa .. arsenal wamelalamikia sana red card .. hii ni snap from espn chat room ...