kweli kabisa mkuu.uzuri wa mbele pale ben,arshavin na rvp wana huwezo wa kuhold mpira japokuwa bado combinationa yao wenyewe ijakubali lakini wameweza kuchangia kwenye magoli.
asante sana na hilo ndio swala kubwa uliotaja tutaendelea kuomba mungu atuepushe na majeruhi na huku wenger pia asajili wachezaji japo wawili ambao wataongeza depth.alete beki na defensive midfielder.