First half haikua mbaya.... ni sisi ndo tumecheza game nzuri.....But all this doesnt matter as we r lagging behind a goal....... Hope we will pull up this 2nd half....
Jirani acha upendeleo bana.......Mbona unaegemea upande mmoja?........Van der Vaart alipofunga goli ulisema Van der Vaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaar......