Nyie wapuuz Hata baada mngeifanya title race iwe hata na mvuto ifike sik ya mwsh.. Mlivo wajinga mmeamua game 2 za mwsh za EPL zisiwe na maana kwa watazamaj kwl?
Yan hii title challenge imekua mchekea kbs.. Liver ndo alitupa heka heka walau nyie mmekua wapuuz kbs.