Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Coach kashindwa kazi yake
 
For example hapa unazunguka zunguka nini?hapa it means coach kashindwa duties zake ndio maana unalalama kwa coach mwenye mentality za ushindi uzembe kama huu huwezi kuuona unaona aibu kumtaja Arteta but the truth ni kuwa yeye ndiye msababishaji from kugombania top 4 last week mpaka namba 7 today na tomorrow anything can happen
 
Ushawahi manage team yoyote? Hata kwenye game ya Fifa career mode?
 
Tommorow pia mnagongwa kama kawaida, hawa wahuni wa humu wote watakubaliana na wewe mkuu, ila nawe wacha kumsema sema kocha tu huku unasahau kwamba Arsenal nzima ni mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho Ni amfifiro tu .hivi mnawajuwa Everton alafu benitez kakaliwa kikao kwaiyo kesho anabamiza mtu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…