Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwenye kujenga timu ya ushindi hatukupaswa kumuacha huyu nyanda, hatupaswi kabisa kumuachia huyu nyandaThere is no need to be upset miezi 6 iliyopita Arsenal hawakuexpect kupata hata £5M endapo wangemuuza. £20M pesa nzuri Sana kwa back up GK, pesa itatumika kuongeza nguvu kwenye deals za Partey/Aouar...View attachment 1565647
Messi na ronaldo hawakushinda word cup lakini ni wachezaji wa sayar nyingine