Hii ndio kaz moja wapo ya academy,Arteta na edu walisema , Academy, inabidi izalishe wachezaji vipaji , moja ya malengo ni kuwakuza na kuwauza au kutumika kwa ajiti ya kikos cha kwanza
Dirisha hili wameletwa vijana wengi wapya ,ila Per meterseker awakuze ,wanaoonesha uwezo wapande U23 na kutumika michuano ya Carabao
Tayari George Lewis anafanya vzr , tutarajie kumuona Carabao Cup
Martinez ,Zao la Academy, kama Anahitaji nafasi zaid , tunamtakie kila la kheri ,
Ni ngumu kumtoa Leno ,
Ada ya £20m , sio haba itasaidia kuboresha maeneo mengine hasa eneo la midfield