Kwa sababu Partey ni champions league player not otherwise. Partey anahitaji kwenda timu kubwa EPL sijui anajichanganya wapi naye
Nyumbu kwani unateseka?[emoji1787][emoji1787]Partey haendi Arsenal, Mark my words
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount [emoji23]
Tutarud kufukua makaburiPartey haendi Arsenal, Mark my words
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount [emoji23]
Real SociadadKwahiyo Silva kaamua kwenda wapi?
Alafu asipoenda! Ndio mtakuwa mmepata kombe lolote msimu huu? [emoji23][emoji23][emoji23]Maana naona kama unatafuta pa kuondolea stress hahaha wenzio wale kina nanii wa kule jukwaa la watoto[emoji838] wakiwa katika situation kama hiyo wanajipiga ban kwa muda wa siku 3....Partey haendi Arsenal, Mark my words
Kwanza ana release clause, tena ndogo tu, halafu Arsenal wanaendekeza njaa wanataka discount [emoji23]
Anaumia sana , Partey to Arsenal ni swala la muda ,mwaka Jana alikuwa anakomaa Arsenal wana bajeti £45m , mwisho wa siku akapotea jumla , kwa Partey nitarud naahid kufukua kaburi ,Alafu asipoenda! Ndio mtakuwa mmepata kombe lolote msimu huu? [emoji23][emoji23][emoji23]Maana naona kama unatafuta pa kuondolea stress hahaha wenzio wale kina nanii wa kule jukwaa la watoto[emoji838] wakiwa katika situation kama hiyo wanajipiga ban kwa muda wa siku 3....
[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]
Picha haihusiani na maneno hapo juu,
View attachment 1541326