Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Bellerin ajirekebishe, Mbao inamuita soon kwa huyu jamaaCedric kafunga dakika ya 4 ya mechi yake ya kwanza kuleta matokeo ya 4_0 baada ya kusign mkataba wa miaka 4,destined to be a gooner
Nani wa kumnunua Guendouzi kwa £40M?Arteta on Guendouzi's absence: "It is the same reasons as last week.
"Somethings have to change and nothing has changed."
Guendouz Auzwe ipatikane hiyo £40m aletwe mtu
Kabisa auzwe akachukue Ballon dor huko wanapomjaza kichwaArteta on Guendouzi's absence: "It is the same reasons as last week.
"Somethings have to change and nothing has changed."
Guendouz Auzwe ipatikane hiyo £40m aletwe mtu
Wengi wanamuhitaji na Arsenal wameweka hiyo beiNani wa kumnunua Guendouzi kwa £40M?
Dogo kiburi. Anapata mshahara mkubwa , anaishi LondonKabisa auzwe akachukue Ballon dor huko wanapomjaza kichwa