Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hahahhaa kwa hiyo lampard hiyo £150m anairudisha kwa Mama Marina kama ilivyo?Pamoja na kuwa na £150M ya usajili, wale targeted key players tulipanga tuwanunue imeshindikana dirisha hili mpk dirisha kubwa.
Sio kwa sababu pesa ya usajili ipo ndio tusajili ovyo ovyo wazee na walevi.
Tumeridhika na matokeo tunayopata kwa sasa, No worries. Tumalizieni mbio za kumsindikiza liver msimu huu.
Arsenal ongeza vigelegele kumshangilia liverpool bingwa msimu huu.
Sent using Cash Money Wings
Hahahah sawa bhana Cash money Wings£150M Inarudi kwa mama wa kirusi. Dirisha kubwa tunaongezewa tena £150M, ndio tunaingia sokoni rasmi.
Kwa sasa Loftus Cheek atacheza kama Forward. Hakuna kitakachoharibika.
Kwa kikosi hiki hiki, tutaendelea kupambana EPL, plan msimu huu ni tusishuke daraja.
Tupo mashindano ya FA Cup na UEFA. (WIN- DRAW-LOSE) ni itakuwa sehemu ya matokeo.
Mpaka sasa Mambo sio mabaya saana. Wala hayaogopeshi. Bado movie yetu nzuri haijabadilika kuwa ya mazombie.
Sent using Cash Money Wings
Kabisa mkuu.Huu usajili wa Cedric unanikumbusha Matthew Derbuchy aiseeeeeh Mungu atuepushie mbali......
Sent using Jamii Forums mobile app
Manaogopa yasiwatokee yale ya KEPA in dully jr voicePamoja na kuwa na £150M ya usajili, wale targeted key players tulipanga tuwanunue imeshindikana dirisha hili mpk dirisha kubwa.
Sio kwa sababu pesa ya usajili ipo ndio tusajili ovyo ovyo wazee na walevi.
Tumeridhika na matokeo tunayopata kwa sasa, No worries. Tumalizieni mbio za kumsindikiza liver msimu huu.
Arsenal ongeza vigelegele kumshangilia liverpool bingwa msimu huu.
Sent using Cash Money Wings
Wanaogopa za uso hao......Manaogopa yasiwatokee yale ya KEPA in dully jr voice
Yupo vizuri USAJILI alioufanya Arteta ni mzuri na mkali sana kwa sasa tuna beki 2 wa kulia beki wa 2 wa kushoto wakali plus Pablo
any current news?! tutegemee usajili mwingi kwa masaa machache haya au ndio bhass tena?!!
Sidhani kama tutasajiri tenaany current news?! tutegemee usajili mwingi kwa masaa machache haya au ndio bhass tena?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mbweha alikua hataki taarifa kama hizi yeye anataka wanaume tu. Nilikua namchukia yeye kuliko matokeo tunayopata uwanjani. COYG
Hahahaaaaaa yule ni nyumbu mkuuKuna yule mbweha alikua hataki taarifa kama hizi yeye anataka wanaume tu. Nilikua namchukia yeye kuliko matokeo tunayopata uwanjani. COYG