Arsenal (The Gunners) | Special Thread

HAPA UMEONGEA POINT MKUU GAME UKIIDOMINATE IMALIZE MAPEMA SANA HII NI EPL NDO MADHARA YA KUREMBA REMBA IKIFIKA FULL TIME TUNABAKI KUJISIFIA OOH TUMECHEZA VIZURI WAKATI POINT 3 HATUNA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAZA MTOTO WA KIUME, UNALALAMIKA LALAMIKA NINI??? ARSENAL TIMU YA WANAUME NDO MAANA TUNAITWA THE GUNNERS, NASHANGAA NASHANGAA UNAOMBA MABAYA TUUU, WE SHABIKI MAMLUKI??? UCHAMBUZI WAKO UNAMSAIDIAJE ARTETA?????
WANAUME GANI?THE GUNNERS HILO JINA NI ZAMANI ILA SIO SASA WE FALA HATUNA WANAUME TIMU YETU KAMA WEWE MWENYEWE SI MWANAUME JE ARSENAL YA SASA HAO WANAUME WA KUPAMBANA WANATOKA WAPI?

HALAFU KWA AKILI YAKO YA KITAKO UNAFIKIRI ETI HUMU ARTETA ANANIPATA HAHAHA NSHAWASILIANA KWENYE PLATFORM MOJA YA ARSENAL NA WAKANIJIBU WAMECHUKUA MAONI YANGU SEMBUSE WEWE PAKA JIKE UTANIAMBIA NINI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPA UMEONGEA POINT MKUU GAME UKIIDOMINATE IMALIZE MAPEMA SANA HII NI EPL NDO MADHARA YA KUREMBA REMBA IKIFIKA FULL TIME TUNABAKI KUJISIFIA OOH TUMECHEZA VIZURI WAKATI POINT 3 HATUNA

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tunaumizwa na beki lakini timu inacheza vizuri kwa ujumla!.. Tuwe na matumaini na timu yetu tutaimprove mdogomdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK CHANGUDOA WA SINZA

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wenzio wanakuona kituko humu,
Jitathmini ndugu......kwanini wenzako wote wapo against na wewe?????

Hakuna asiyejua madhaifu ya Arsenal na uzuri wake soka ni mchezo wa hadharani,ilimradi tumeamua kuwa washabiki wa hii timu basi tukubaliane na hali halisi,na sio kutamani kule usipoweza kufika ndugu.....kwani Arsenal ndio klabu ya kwanza kuwa na msimu mbaya duniani?????
Kuwa mvumilivu we jamaa,timu ipo katika kipindi cha mpito....unavyotulalamikia humu sisi hatuna cha kukusaidia unatuchanganya tu.

Hizo kelele zako peleka kwa kina Josh,Stan,Edu,Raul ndio watakusaidia...humu sanasana utatukanwa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WANAUME GANI?THE GUNNERS HILO JINA NI ZAMANI ILA SIO SASA WE FALA HATUNA WANAUME TIMU YETU KAMA WEWE MWENYEWE SI MWANAUME JE ARSENAL YA SASA HAO WANAUME WA KUPAMBANA WANATOKA WAPI?

Sent using Jamii Forums mobile app

SAMAHANI, HIVI UCHAMBUZI WAKO UNAMSAIDIAJE ARTETA?? AU SISI MASHABIKI?? BORA UNGEKUA UNALETA TAARIFA ZA TIMU, WE UNALALAMIKA, ACHA KUTUJAZIA INZI. KILA SIKU UNATABIRI MABAYA HALAFU YAKITOKEA UNADAI UNAUCHUNGU!!! HIVI WEWE MZIMA KWELI??!!!! YANI UNAJIYEKENYA HALAFU UNACHEKA MWENYEWE NA UNALAZIMISHA TUKUELEWE??!!!!
 
SASA NDO UMEAMUA KUNITUKANA?NIMEONYESHA MATUSI NAYAJUA UKINITUSI SITAKUACHA KAMWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NIMETOA MAONI KUTOKANA NA TIMU ILIVYO MIMI SIO MNAFIKI NI SHABIKI WA DAMU ILA KUSEMA ARSENAL ITASHINDA WAKATI NAJUA HATUSHINDI HILO NDO SIWEZ KULISEMA HUMU YAANI KUREMBA LAZIMA TUWE NA WACHEZAJI FIGHTERS WAKISAJILIWA BASI TUTASEMA KUNA KITU TUNAONA TIMU LEO TAREHE 18 NI TETESI WALIOPO HAWAUZWI HATUJASAJILI SASA UNATAKA NISIFU WAKATI HAKUNA CHANGES

MFANO NEXT GAME NI DHIDI YA CHELSEA ILA KWA UTIMAMU UNATAKA NIJIANDAE KUSEMA NTASHINDA WAKATI NAJUA TIMU YANGU HAINA KIWANGO NA HAITASHINDA?

UNASEMA NATABIRI MABAYA HAHAHA HIVI TANGIA NIMEANZA KUONGEA KUHUSU TIMU YANGU YA ARSENAL KUNA SEHEMU NIMESEMA UONGO?KUTABIRI MABAYA HYO NI PUMBA POINT TIMU YETU NI DHAIFU UNAJUA WEWE UNATAKA TUSEME UONGO PALE AMBAPO UKWELI UNAONEKANA NDO HUTAKI KUKUBALI

BODI INGEKUWA IMECHANGAMKA UNAFIKIRI NANI ANGELALAMIKA HUMU JUKWAANI?

NDO MAANA NAKWAMBIA KUNA PLATFORM NAIJUA YA ARSENAL HUWA NAANDIKA NA WANANIJIBU HUMU KILA MTU ANASEMA YAKE ILI SIKU IENDE SASA KWA NINI UNANITUKANA?

HALAFU UNATAKA NILETE TAARIFA YA TIMU KWA WACHEZAJI GANI?HYO KAZI ATAIFANYA AARON MIMI SIWEZI KUWACHAMBUA VIVULANA AU HATA WEWE UNAWEZA KUIFANYA HII KAZI KAMA AARON
Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Huyu jamaa I wish nimuone, sipati picha uwe nae face to face mnabishana. Leo (kama ana familia) ikae mbali inaweza ikachezea makofi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlevi kama huyo anawezaje kuwa na familia...anavyoonekana tu ni mtu flani hivi mayaimayai hawezi kukabiliana na changamoto za maisha....

Fikiria Arsenal tu inamfanya adharilike huku jukwaani,Je ndio amefumania mkewe anachapwa nao si ataua kijiji kizima huyu kwa kuona kila mtu ni chanzo cha tatizo......

Huyu ni KKB....hana kazi zaidi ya kuilalamikia Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAHAHA KAWAIDA TU MAN ILA MSIMU HUU ARSENAL IMETUSHANGAZA

Sent using Jamii Forums mobile app
Relax bro, wote tuna maumivu ila tushakuwa watu wazima. Jazba, hasira tuwaachie vijana wanaobet . Naamini wewe mtu mzima utanielewa

Andika hoja tutabishana vizuri tu, sio dhambi kupishana mawazo. Lugha za matusi sio kabisa. Ukiona mtu anakuzingua usimjibu.

Tungekua tuna uwezo wa kuonana ukaona watu wanaosoma humu, naamini utajutia lugha unazoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyu dogo hasomeki, anaitabiria arsenal mabaya, hayo mabaya yakitokea anajidai anauchungu!!!!!! Atakua mamluki huyu.
 
NIMEKUPATA KAKA NIMEKUSOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…