Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kanunue rungu upunguze muwasho
KURZAWA TO ARSENAL
ANAKUJA KUZIBA NAFASI YA LEFT BACK AMBAYO KIERAN TIERNY ANA INJURY. NA KOLASINAC ANASUMBULIWA NA INJURY YA KILA MARA
SOURCE😀AVID ORNSTEIN
Arsenal in advanced talks to sign PSG left-back Layvin Kurzawa. Negotiating today over deal for this window. Free agent in summer so trying to do it now without fee. #AFC working on 3-4 loan / free / low fee deals (doesn’t mean will do all) @TheAthleticUK: Arsenal in advanced talks to sign Layvin Kurzawa, PSG's...
View attachment 1325158
Msimu huu kacheza mech za ligi 11 hadi sasaNina mashaka na injury record yake, sio nzuri
huyu jamaa anaelimshwa lakini bado malalamiko yake hayaishi.Usimalize nguvu zako ,kaa tu kimyaa mkuu
Huyu anaweza kuwa mamluki!.. Maana toka aibuke ghafla kwenye hii thread yetu anajitahidi sana kutupa frustration
SASA MKUU UNATAKA NYEUSI IWE NYEUPE?INGEKUWA EPL ANGALAU TUPO TOP SIX THEN NKAWA NAONGEA NEGATIVE UNGESEMA MIMI NI MAMLUKI ILA TUPO NAFASI YA 10 HATUJASAJILI MTU WA MAANA MPAKA SASA TIMU YETU HATUJAWAH SHNDA MECHI 2 MFULULIZO HADI SASA YAANI TUPO TUPO NDO MAANA NAONGEA HIVI FACTS SITAKI KUPINDISHA AU KUJIPA MATUMAINI WAKATI HATA WEWE UNAJUA HATUNA FUTURE MSIMU HUUHuyu anaweza kuwa mamluki!.. Maana toka aibuke ghafla kwenye hii thread yetu anajitahidi sana kutupa frustration
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawia mzee....Henry,vieira na anelka ni usajili ambao arsenal waliufanya halafu mashabiki hawakujua kama watakuwa majembe usajili unaweza fanywa na kocha nyie mashabik mkabak gizani angalia usajili wa Georginio Wijnaldum huo ni mfano tu anapiga kazi ya maana kushinda wale tulikuwa tunajua wanamajina
Nitaenda kuirudisha halisi kule kopps....oohhhhhmilangomitatu Jamaa namuelewa sana.
Na wewe tushakuchoka hata ikishuka daraja wewe unaichangia bei gani? Wote tunajua timu inaihitaji kusajili hata kocha mpya analijua hilo, hata Unai naye alisajiri hao akina torreira na tierney, Pepe kashindwa kuwatumia ndo maana tumefika hapa tulipo kwa hiyo unapoambiwa kuwa muelewa punguza gubu, maana hata ukipiga kelele hama hamna kitakachobadilika zaidi ya kuwakera wengine tuSASA MKUU UNATAKA NYEUSI IWE NYEUPE?INGEKUWA EPL ANGALAU TUPO TOP SIX THEN NKAWA NAONGEA NEGATIVE UNGESEMA MIMI NI MAMLUKI ILA TUPO NAFASI YA 10 HATUJASAJILI MTU WA MAANA MPAKA SASA TIMU YETU HATUJAWAH SHNDA MECHI 2 MFULULIZO HADI SASA YAANI TUPO TUPO NDO MAANA NAONGEA HIVI FACTS SITAKI KUPINDISHA AU KUJIPA MATUMAINI WAKATI HATA WEWE UNAJUA HATUNA FUTURE MSIMU HUU
MIMI NASUBIRIA MSIMU UJAO NDO NIANZE UPYA MASHINDANO SASA HIVI SIJUI NACHOKITAKA MAANA KWENDA TOP 4 NI NGUMU TUMEACHWA POINT 11 ILA KUSHUKA DARAJA NI RAHISI MNO MAANA NI POINT 6 TU NA MSTARI WA KUSHUKA DARAJA NA NINAAPA HII STATEMENT ITUNZE KATIKA HIZI MECHI 2 ZINAZOFUATA KUNA HAYA YAFUATAYO KWA JINSI NAVYOIJUA TIMU YANGU HII ZAIDI YA MIAKA 22
KWANZA HATUTASHINDA HIZI MECHI 2 MFULULIZO TUNZA COMMENT YANGU KAMA KUTAKUWA HAKUNA USAJILI MPYA
PILI KATIKA HIZI MECHI 2 TUNAWEZA PIA TUSISHINDE HATA GAME MOJA TUNZA COMMENT YANGU KAMA KUTAKUWA HAKUNA USAJILI MPYA
KATIKA HAYO MAWILI NLIYOTAJA MOJA LAZIMA LITOKEE KAMA NTAKUWA MUONGO UTAKUJA KUNIKUMBUSHA NIPO TAYARI KUKUMBUSHWA
GAME YA JMOSI TUNA ASILIMIA 65 YA KUSHINDA SABABU TUNACHEZA HOME EMIRATES ILA SHEFFIELD TUNAWAJUA HAWA NGOJA TUONE KITAKACHOTOKEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukuelewa!.. Yaani hata hajifikirii jukwaa lote hili hakuna anayempa sapoti!.. Uungwana ni vitendo, watu wamepiga kelele hapa aandike kwa herufi ndogo maana maherufi makubwa yanakera lakini kagoma! Sasa phycologically huyu ni ana matatizo kichwani!.. Mimi nilianza kumpuuza baada ya kukataa kubadili kitu kidogo tu kama maandishi, nikagundua huyu hashauliki, hataki kuonekana hajui!.. Mimi huwa sijibu au kuchangia post zake siku hizi maana hataki ushirika mwema na sisi wana Gunners!.. Yaani kitu kidogo tu hata kubadili maandishi tu kagoma, sasa ni mtu wa namna gani huyu?Na wewe tushakuchoka hata ikishuka daraja wewe unaichangia bei gani? Wote tunajua timu inaihitaji kusajili hata kocha mpya analijua hilo, hata Unai naye alisajiri hao akina torreira na tierney, Pepe kashindwa kuwatumia ndo maana tumefika hapa tulipo kwa hiyo unapoambiwa kuwa muelewa punguza gubu, maana hata ukipiga kelele hama hamna kitakachobadilika zaidi ya kuwakera wengine tu