Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Apart from BILD gazeti la kuaminika la German

Kuna MTU ndani ya klabu anadokeza kuwa Arsenal inapambana kumpata Erling Braut Håland January au summer

 
Man u watawapiku kwenye kumwaga mpunga.

Salzburg wanataka €85m, man u wameweka mezani €100m
Inamaana huwajawazoea man u kwa tetesi?

Kwakukusaidia tu , dogo baba yake kacheza Leeds na man city ,

Anayemshawishi kwenda man u ni Ole , mwez uliopita alipohusishwa na man u ,aliwatukana .

Jana alikuwa uwanja wa mazoez wa Arsenal .

Mpira ni fitina. Lolote linaweza kutokea
 
Hivi Arsenal hii ndo ilisema Lampard atafukuzwa kabla ya December?
 
Majirani zangu nawaonea huruma sana ,kwakweli natamani Pochettino angekuja kwenu ili upinzani uwe mkubwa hapa London,
Ila kwasasa Special One amekuja kuing'arisha London kupitia Spurz ....karibuni sana
 
Waliomleta hawakujua kama yeye ni kilaza? Kama hawakujua hili basi bodi yenu ni vilaza. Nyie mliposema mtabeba ubingwa mwanzani mwa msimu hamkujua kuwa timu yenu inaongozwa na vilaza? Au na nyie pia ni vilaza?
Kocha mpya akienda timu yoyote ile mashabiki huweka matumaini kwake...huwezi kumlaumu kocha anapokuwa anaanza kibarua...lakini ubora wake tunaupima kadri mechi zinavyoendelea kucheza....hapo ndo tunaona kama kocha anafaa ama hafai...Na hivyo sisi kama mashabiki kwa mechi timu ilizokwisha cheza tumeona kocha hajafit kwenye timu.
 
Si wangeweka imani pia kwa Lampard ambaye alikuwa katika kandarasi mpya?
 
Hajui English

Wachezaji hawamuelewi

Kwenye mazoez utasikia anasema Calm calm

Wachezaji wanashindwa kuelewa anasema come or calm

Anapiga broken nzuri tu

Huyu kocha kuanzia lugha had uwanjan ni Sifuri
Kusema kweli mkuu, Mm niliingiwa wasiwasi toka uropa league final..,nikasema isiwe kesi lakini kwa mpira tuliocheza kwa hizi mechi za awali mmhh!!!, sioni mwanga mbele....Kama ni hivyo haeleweki si ajabu hata wachezaji wamemchoka....wahusika wachukue hatua sasa
 
Waliomleta hawakujua kama yeye ni kilaza? Kama hawakujua hili basi bodi yenu ni vilaza. Nyie mliposema mtabeba ubingwa mwanzani mwa msimu hamkujua kuwa timu yenu inaongozwa na vilaza? Au na nyie pia ni vilaza?
Wewe hapo Chelsea mnakaaga na kocha milele?

Kadri siku zinavyokwenda , kocha anajulikana kama ana fit au hafit

Hata huyo lampard usije kushangaa mwisho wa msimu mkaandamana afukuzwe , waulize man u kabla na baada ya ole kupewa mkataba hali ilikuwaje na sasa ipoje
 
Nacheka sana

Lakin yote kwa yote

Mungu endelea kumlinda kiumbe wako unai emery asifukuzwe kazi
 
Hivi Unai anajiskiaje anavyoona dunia nzima mashabiki na sasa hata ma legends wa Arsenal hawamtaki?ingekuwa Mimi ningejiuzulu tu dunia nzima haikutaki unanganania nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…