Daah so sad tumepoteza jembe, naskia kuna tetesi za arsenal kumtaka depay january n za kweli? na vp joel campel Uko leon halipo n kwa mkopo au tumemuuza?Wenger hakukosea kumuacha ,kama unakumbuka kuna msimu Wenger alimpa muda sana wa kucheza , dogo akafanya vzr
Mkataba wake ukawa unaelekea kuisha ,Wenger akamwambia dogo asaini , akawa anadengua , Wenger akamwambia yupo huru kuondoka , ndipo Wenger akampandisha Iwobi kutoka acardemy. ,japo alikuwa anapiga sana LWView attachment 1203690
Campel alishauzwa kitambo sana ,Daah so sad tumepoteza jembe, naskia kuna tetesi za arsenal kumtaka depay january n za kweli? na vp joel campel Uko leon halipo n kwa mkopo au tumemuuza?
Kama kitu hujui uliza au kaa kimya ,Huyo aliyebebwa kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.View attachment 1204074
we jamaa upo?Gunners mpo? Naona timu yetu inasuasua. Don't worry tutajenga timu upya imara.
vipi MO SALAH mkuu?Huyo aliyebebwa kuna watu walimuona hana kitu sasa hivi kawasha moto huko hatari.View attachment 1204074
Mo Salah aliondoka kama kinda ilimbidi akatafute nafasi timu ndogo. Huyo kaondoka kikosi cha wakubwa akiwa na namba kabisa.vipi MO SALAH mkuu?
Hujui nini kwani?Kama kitu hujui uliza au kaa kimya ,
Jiandae na wolves kuvutwa mkia wiki hii
Hujui nini kwani?
Ona ulivyo muongo, Sergi kacheza msimu mmoja kwa muda mrefu , na hata kuondoka arsenal hakwenda baryen moja kwa moja , Ndio maana nimekwambia kama hujui uliza , huyo dogo hajawahi kuwa na namba ya kudumu, na uhakika hata kujua alichezea Arsenal umejulia humu humu JfMo Salah aliondoka kama kinda ilimbidi akatafute nafasi timu ndogo. Huyo kaondoka kikosi cha wakubwa akiwa na namba kabisa.
Hajui anaongelea nini hata.Ona ulivyo muongo, Sergi kacheza msimu mmoja kwa muda mrefu , na hata kuondoka arsenal hakwenda baryen moja kwa moja , Ndio maana nimekwambia kama hujui uliza , huyo dogo hajawahi kuwa na namba ya kudumu, na uhakika hata kujua alichezea Arsenal umejulia humu humu Jf
Kijana nakwambia nafuatilia toka hujazaliwa. Kwanza hakuna sehemu niliyosema alienda Bayern moja kwa moja, alikua mchezaji kama sasa ivi walivyo kina Willock na Nelson Wenger anaweza kumuanzisha hata game kubwa. Sasa huyo si kaaminika na kocha. Nafuatilua toka Arsenal yenu ya viwete mpaka leoOna ulivyo muongo, Sergi kacheza msimu mmoja kwa muda mrefu , na hata kuondoka arsenal hakwenda baryen moja kwa moja , Ndio maana nimekwambia kama hujui uliza , huyo dogo hajawahi kuwa na namba ya kudumu, na uhakika hata kujua alichezea Arsenal umejulia humu humu Jf
Ongea na mimi usiniogope kijana. Kuwa freeHajui anaongelea nini hata.
Uzuri kwa maelezo yako , na uhakika huyu dogo umemjulia humu humu jf kwenye mijadala , kama kweli unafatilia soka usingekuwa unaaminisha watu Chelsea itamaliza ndan ya top 6 this season....hahahahaKijana nakwambia nafuatilia toka hujazaliwa. Kwanza hakuna sehemu niliyosema alienda Bayern moja kwa moja, alikua mchezaji kama sasa ivi walivyo kina Willock na Nelson Wenger anaweza kumuanzisha hata game kubwa. Sasa huyo si kaaminika na kocha. Nafuatilua toka Arsenal yenu ya viwete mpaka leo