Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,693
Hapo sasa, watu hoi, na huo mziki ukiingia sijuwi itakuwaje?! Hata Pepe hakupata dakika za kutosha, makeke yake bado kuonekana...NITAKUWA SINA SHUKRANI NISIPOWAPONGEZA VIJANA LEO
Timu ambayo imeenda kwa Newcastle ikiwa na vitoto vinne kwenye first eleven na ikashinda huku ikiwa imemiliki mpira kwa sehemu kubwa, huku wachezaji 10+ wakikos cha kwanza wakiwa hawapo au kuuanza kabisa .
Leo hawakuwepo hawa
Luiz
Laca
Pepe
Ozil
Kolasinac
Belle
TIERNY
Ceballos
Lt11
Holding
NA BADO TULIWEZA KUMILIKI MPIRA NA KUONDOKA NA 3 POINTS NA CLEAN SHEET ,
shukrani kwa bao la Aubamiyang
View attachment 1178675
Hazard alitokea wapi!?Nyie wapuuzi sajili zenu mmeibiwa.. Huyo cebalos kaoza pepe anatoka farmers league... Eti asumbue epl
Napenda mfumo huu, timu nzima inacheza.Emery:
“Tunataka kuanza kukaba na Aubameyang na tunataka kuanza kushambulia na Bernd Leno. Tunahitaji kutengeneza muunganiko mzuri, hali nzuri, kutengeneza nafasi na kila mchezaji kwa uwezo wake atafunga, atatoa Pasi za magoli na kujilinda zaidi.View attachment 1178760
Van Persie haingii hapa au kasahaulika?| #AFC
Goals after 50 Premier League games:
33 - Pierre-Emerick Aubameyang
30 - Thierry Henry
24 - Ian Wright
22 - Alexis Sanchez
20 - Alexandre LacazetteView attachment 1178681
Wallpaper View attachment 1179361