Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hahahahaahahah!Mwaka huu tunaweza kutumia £200m kwa bajeti ya £45m
Naona Arsenal waliamua waje na hiyo mbinu ili wasikumbwe na rungu la UEFA, la kufungiwaHahahahaahahah!
Wapinzani wanashangaa haahhahaahahah
Hapana bro, it has nothing to do with FFP. It was a technique used ili klabu za wachezaji tunaowataka zisije zikatu-overquote.Naona Arsenal waliamua waje na hiyo mbinu ili wasikumbwe na rungu la UEFA, la kufungiwa
I agree with uHapana bro, it has nothing to do with FFP. It was a technique used ili klabu za wachezaji tunaowataka zisije zikatu-overquote.
Misimu minne au mitatu nyuma wenver went public and declared arsenal kwamba ina financial muscles za kununua wachezaji baada ya kupitia kipindi kigumu cha Emirates stadium dept repayment, matokeo yake ikawa kila tunapokwenda kuulizia mchezaji tunapigwa bei ya juu sana.
Ile ishu haikupokelewa vyema na board ya arsenal na Wenger alibeba part of the blames for the same. So, the club learned its lesson and this year arsenal has become a winner in a transfer market. Imefanya business nzuri sana
Juve wamefanya hiyo b'ness hatari msimu huu, sema kocha jinga anaweza akaleta ujuha wake wa kupaka rangi mpira thn asichukue uefa ,ila naiona Juve vs Barca final Uefa.BREAKING: Man City have signed full-back João Cancelo from Juventus for £26m plus Brazilian defender Danilo who heads in the opposite direction