mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,889
- 3,620
Sio kwamba ni mzee huyu bwana? Maana ni wa kitambo.BREAKING: Chelsea defender David Luiz wants a move to Arsenal before the transfer deadline and trained away from the rest of the squad todayView attachment 1174762
Sio kwamba ni mzee huyu bwana? Maana ni wa kitambo.
Arsenal wanataka CB wa muda mfupi, maana Wale tuliowahitaji tunaambiwa £75m-Sio kwamba ni mzee huyu bwana? Maana ni wa kitambo.
Ana miaka 32,Mkataba wake unaisha Until 2021, Amegoma kufanya mazoezi leo na First teamanalazimisha kuondoka ,£ 15 ml zinawatosha Chelsea.je mkataba wa david luiz unaisha lini?! hayo ndio maswali ya kujiuliza.kama bado yupo sanaa tegemea kuuzwa kwa bei ya juu maana chelsea ndio wanamtegemea although umri wake umeenda...
Lampard anazuia aisee ,anasema mpaka ijumaa ndio atalizungumzia hilo swala, wakati dirisha linafungwa kesho usikuAna miaka 32,Mkataba wake unaisha Until 2021, Amegoma kufanya mazoezi leo na First teamanalazimisha kuondoka ,£ 15 ml zinawatosha Chelsea.
Hii taarifa ipoje mkuu, anakuja kwa mkopo au permanent?Rugan to arsenal
Sijajua ,ila taarifa zinasema Arsenal wamerud mezan tenaHii taarifa ipoje mkuu, anakuja kwa mkopo au permanent?