Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Generally, I am pleased with the activity done since Emery arrival. We did a very good business last year.Hapana mkuu japo nami simkubali Iwobi, ila hiyo offer ipo chini kwa umri na Potential yake. Wachezaji wa kawaida tu wananunuliwa kwa bei zaidi ya hiyo...
Waboreshe dau walete offer. Tuvute beki wa kati....
Ila timu inatia matumaini kwa sasa. Fagio linalopita sasa mpaka next season tutakuwa pazuri.
Walete 35 + 5 adds on
Misimu mitatu ya Unai Emery hii Arsenal itakua tofauti kabisa. The future is exciting!Generally, I am pleased with the activity done since Emery arrival. We did a very good business last year.
Sokratis, torreira, Guendouzi, Leno.
This year pepe, saliba, ceballos and martinelli. Failure so far ni Denis Suarez only. This has been good approach toward reviving our dearest club.
For real. Last year, we were just unlucky not to get into top 4.Misimu mitatu ya Unai Emery hii Arsenal itakua tofauti kabisa. The future is exciting!
For sure, zile mechi za mwisho tulikuwa kwenye kiwango kibovu sana, ukichangia na beki yetu kutokuwa nzuri. Ila tulikuwa na nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya 3.For real. Last year, we were just unlucky not to get into top 4.
I can't wait bro. Last season we had improved alot against top six teams. A lotFor sure, zile mechi za mwisho tulikuwa kwenye kiwango kibovu sana, ukichangia na beki yetu kutokuwa nzuri. Ila tulikuwa na nafasi kubwa ya kumaliza nafasi ya 3.
Msimu huu Ukiacha Liver na Man City waliobaki top 4 sioni kama wanatuzidi. Kama combination ya kule mbele Pepe-Auba-Laca itafanya kazi, lazima kuna vipigo vya kuchakaa watu watapata.
He will for sure improve our defenceArsenal, whose coach Unai Emery worked with Luiz at Paris Saint-Germain, has made it clear he wants to go. David Luiz has sensationally tried to force a move to Arsenal by refusing to train with Chelsea. [@Matt_Law_DT]
Chambers is another rubbishMustafi pia anatafutiwa soko asepe, Senior CB waliobak ni sokratis , chamber ,mustafi ,holding,
Hivo kwa vyovyote vile pengo la kos litazibwa
Bukayo Saka anakosa playing time mmuone, kitoto kipo vizuri sana nimekifuatlia kiko vizuriZaid ninacho mpenda SMITH ROWE anakitu kinaitwa GOLDEN EYE (aina hii wachezaji hawafundishwi anazaliwa na hicho kitu tu)
BUKAYO SAKA-this is left focing winger namwona km WILTORD (waliomwona wanajua shuguli yake)
HV AROON HATUWEZ KUTENGENEZA MTU MWINGNE KM DENNIS BERGKAMP???