Huyu mtoto nilimuona kwa mara ya kwanza msimu wa mwisho wa wenger ule,tukicheza na Newcastle,tulipoteza game nadhan!Kiukwel aliruka ruka tuuuuARSENAL WE HAVE PURE TALENTED FOOTBALLER
WILLOCK (time will tell but he is another patrick viera)
EDDIE NKETIA (born to score, yas! Another Thiery Henry...katika box yeye hanaga mambo mengi ni ball on the foot and ball to the net)
SMITH ROWE (this is friddie ljungberg +KDB)
Leave your comment,if am not wrong
Hiyo inaitwa release clause , ni hela waliyomthaminisha mchezaji, ukiilipa unamchukuahiyo penalty ya nini tena?!
Spurs pia wanaweza kuwapokonya coutinho ,maana na wao wamejiunga kwenye mbio za kumtaka95% Coutinho to Arsenal almost done
99% Rugani to Arsenal almost done
Upamecano anaitaka Arsenal madau mawili tayari yamekataliwa, Tutarudi kwa dau la 3 kubwa kuliko kumng'oa RB Leipzig
#ArsenalTumechafukwa
Wanamchukua dyabala , halafu tukija one against one spurz na arsenal kwenye mchezaji hawawez kutushinda.Spurs pia wanaweza kuwapokonya coutinho ,maana na wao wamejiunga kwenye mbio za kumtaka
Bodi ya sasa imeondoa deadwood kwa kiwango cha rami , imekubali kula hasara tuHawa ndio wametutia hasara miaka yote hiyo... Mwenye afadhali hapo walau Ramsey tu hao wengine takataka....