Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Highly-rated 20yo striker Eddie Nketiah set to leave Arsenal on season-long loan. Bristol City among a number of clubs in talks to sign England youth int’l. Currently no firm offers for defender Shkodran Mustafi & he wants to stay - but foreign teams have longer to do a deal #AFC
 

Duh! Mustafi king'ang'anizi

🙂🙂

Lakini players out ni walewale ambao Emery anataka waondoke.
 

At 33 its ok for him to retire in France.

Boss was one of the best defenders in Arsenal history.
 
£30m on Saliba, £72m on Pépé, £5m for Ceballos and now we’ve bid £47m for Upamecano. £154m in total being bid by Arsenal.


£45m budget sounds about right.

Hiyo 45M ilikuwa ni media hype tu na hakuna aliefahamu kwa undani fedha za usajili zilikuwa zimetengwa kiasi gani.

Ila nilisema hapo awali kwamba Arsenal walimshawishi Stan Kroenke aongeze mpunga wa kutosha na akakubali.

Sasa imebakia kumsajili Kieran Tierney na Daniel Rugani.

DIli la Rugani itabidi Arsenal wamnunue kimoja mkopo ukiisha. Juventus wapo tayari kumuachia ikiwa Arsenal watamsajili baada ya kopo na khasa ukizingatia Juve wamemsajili tayari mkoba mwingine Matthijis de Ligt.

Dayot Upamecano ni option nzuri kwani ni mdogo kwa Rugani kwa miaka 5 lakini yeye anataka Champions league hivyo kufanya dili kuwa ngumu kufanyika.

Ila kama kawaida ya kale kamsemo "penye Udhia, penyeza Rupia" na katika kufanya biashara basi tunamwachia mtaalam Raul Sanllehi.

Ila kama Arsenal watamsajili Upamecano basi ataunda safu kali kabisa ya ulinzi pale nyuma akisaidiana na no-nonsense Sokratis mble ya kipa Leno.

Hivyo basi Tierney na Rugani / Upamecano to Arsenal.

COYGs!!
 
So far good preseason preparations. AROON endelea kuleta updates, naona hata kuingia kwenye pages nimeacha coz nikija hapa umetupia kila kitu. Nidai Smirnoff kama unatumia
 
Latest on Arsenal's attempts to bolster the defence. Interest in Upamecano, but a really tough one to get done. Could go back in for Rugani, but Juve want a big fee. Tierney talks continue, but no bid (yet).

Tick, tock. https://t.co/KcRliDbaLv
 
Tukimchukua upemacano bas so far hili dirisha tutakuwa tumegusa maeneo yote muhimu,

Na tutakuwa na ukuta mzuri,RUGAN simfahamu vzr uwezo wake
 
Guardian: Arsenal will see defensive reinforcements as a priority and are interested in the RB Leipzig centre-back Dayot Upamecano, as well as Daniele Rugani of Juventus.
 
Nilitania, nakusoma kama "mtu wa kwetu"


Hope season hii tutatoka na kitu.
Ngoja dirisha lifungwe tuone kuanzia back line inakuwaje, ila kwa midfield IPO vzr , attacking ujio wa pepe utaongeza option zaid na makali yataongezeka , pia uwepo wa Nelson ,iwobi, martinell utasaidia

Kifupi kwa attacking. ,midfield mpaka sasa pametulia ,

Back line ndio hivo uongoz unakimbizana kupata watu angalau wawili ,
 
Rugani prefers to join Arsenal ahead of Wolves but Arsenal have not yet made an offer to buy him permanently from Juve .
 
Celtic are closing in on the signing of Brentford left-back Rico Henry in a £7million deal.

And the impending arrival of Rico would pave the way for Tierney to move to Arsenal.

[The Sun]
 
Bayern Munich are interested in signing highly-rated Arsenal midfielder Joe Willock, Sky Sports News understands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…