Swala la beki......
Namba 2 ni Hector akisaidiwa na Niles
Namba 3 Tierney akisaidiwa na Kolasinac
Nne na Tano ni Holding na Papa!(Huwezi kuchezesha watoto wote , wataleta utoto pale nyuma ndio mana Papa atakuwepo pale nyuma kutuliza team ) pia atakuwepo new CB ambaye kocha aliahid kumleta , So iwapo Koscielny na Mustafi wataondoka ,tutakuwa na CB holding, sokratis na new CB
Saliba Atakuja msimu ujao akiwa amekamilika kabisa mithili Zaifi
NINA IMANI MAKOSA YA MSIMU ULIOPITA YATAPUNGUA KAMA SI KUISHA KABISA!....
PIA BEKI ZETU ZA PEMBENI ZA MSIMU HUU ZITASAIDIA SANA KWENYE MASHAMBULIZI! Katika mfumo wa Back 3 ambapo kolasinac na bellelin watacheza kama WINGBACK kufanya mashambulizi kuwaunganisha LW na RW kama emery anavyopenda .