isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Toreira haina tatizo,Toreirra NO. 11 Siyo sahihi
Elneny NO. 4 Siyo sahihi
Pepe NO. 19 Siyo sahihi
Koscielny No. 6 Siyo sahihi
Watafute jinsi ya kufanya rotation kwa hizo namba.
Endapo Koscielny akiondoka, basi 6 apewe Toreirra.Toreira haina tatizo,
Kuna fagio linapita kuondoa All deadwoods , kwahiyo Elneny hiyo namba inabaki empty
Koscielny anaondoka hiyo namba pia inabak empty
Pepe hiyo namba anaipenda toka lille alikuwa anavaa hiyo.
Vipi zidane namba 5 ilikuwa sahihi!! Thierry henry no 14..Toreirra NO. 11 Siyo sahihi
Elneny NO. 4 Siyo sahihi
Pepe NO. 19 Siyo sahihi
Koscielny No. 6 Siyo sahihi
Watafute jinsi ya kufanya rotation kwa hizo namba.
Sorry namaanisha Haipendezi....Vipi zidane namba 5 ilikuwa sahihi!! Thierry henry no 14..
Hakuna usahihi wa namba ya jezi mgongoni ila ni mazoea yetu tu, ukisema hainogi sawa ila sio kwamba sio sahihi..
Tungezaliwa na kukuta mchicha unaitwa matembele na matembele yanaitwa mchicha tungepokea bila kuuliza..
With 7 days to go in the transfer window hopefully we get Tierney and a CB.
Aahh!!! Hapo saw mkuu. Ni kweli haipendezi ama kwa lugha nyingine mtaani tunasema hainogi ama haina mvuto.Sorry namaanisha Haipendezi....
Binafsi navaa 99 au 28