Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Malcom ni right wingerNEXT SUNDAY TUNA MECH NA BARCELONA
Tunaweza kumpata malcon ikiwa barca watakubaliana na matakwa ya Arsenal ,yasiyo ya kumnunua Bali loan .
Kabla dirisha halijafungwa Emery ameahid kuongeza CB na winger ,
KUNA UWEZEKANO TUKKAONGEZA LEFT winger mmoja kati ya Malcon au kama proposal ya Everton itakubaliwa .
Bas ndio maana nimeona kama arsenal wamepuuzia na nimeona anaelekea Zenit ,na barca hawataki kimtoa loan wanataka kumuuza WA balance vitabu vyao vya fedhaMalcom ni right winger
Yeye ni mashoto kama Salah, Messi na Grienzmann
na pepe je? watamwacha tena au anakuja piaMuda huu Sky sport news , KAVEH anasema Everton wamepeleka £55m na wachezaji wawili kwa ajili ya Zaha,
Wakati huo huo Kaveh na Dharmaesh Wanasema
They claim Arsenal are still trying to sign Wilfried Zaha despite the fact Nicolas Pepe is set to sign this week.
KAMA NILIVYOSEMA JUZI , ARSENAL BADO WANAMUWINDA ZAHA ,KINACHOSUBILIWA OFA YA EVERTON KWA ZAHA IKUBALIWE ,THEN ARSENAL watume ofa inayofanana na UAMUZI UBAKI KWA ZAHA....
Pepe ni WINGA YA KULIA maana anatumia sana mguu wa kushoto,na pepe je? watamwacha tena au anakuja pia