Tukana matusi yote mkuu unganisha,ila usirudie matusi ambayo tumeshayazoea sawa mkuu.Wewe shoga nani kakuambia Arsenal lazima imsajiri zaha? Kocha wako amesema hasajiri msimu huu umeamua kufanya umalaya kila uzi
Namba 6 Arsenal anayefanya kazi zote kwenye 4-2-3-1 ni LT11,
Xhaka Mateo hao kazi yao huwa ni kupandisha timu as namba 8
Hicho kikosi Unamuona ceballos as namba 8 ni kwakuwa Tunahitaji namba 8 mnyumbulifu atakayepeleka timu mbele , huku jukumu lA kukaba likibak kwa toreira .
Nadhan umeelewa
Unaangaliaga mpira kweli au unaongea tu ? Unaweza kuniambia Toreira anacheza namba ngapi hapo Arsenal? Unaweza kuongea hivo je wajua nani anayefanya tackling,interception, defending hapo Arsenal?
Umecheki vibaya kweli na yawezekana huangalii game za Arsenal , huyo jamaa kukaba ndio kipaji chake , labda umemjulia hapo Arsenal, mfatilie akiwa Uruguay piaLabda nimemcheki vibaya huyu Lucas Torreira
Kwa nilivyomcheki naona kama kukaba kwake sio kipaji alichopewa
Anyway ngoja nimcheki tena msimu huu wa 2019/2020
Xhaka ukabaji bado sana , xhaka anapiga pass tu tena ndefu , na ni namba 8 , kitu ambacho Arsenal hatukihitaji ,na ndio maana anatoa maboko sana , na kumfanya toreira apate kazi kubwa ,Umecheki vibaya kweli na yawezekana huangalii game za Arsenal , huyo jamaa kukaba ndio kipaji chake , labda umemjulia hapo Arsenal, mfatilie akiwa Uruguay pia
naskia team za epl zikimtaka pepe, wanataja dau kubwa, kUliko team za Italy! sasa hapo imekuwaje aroon? kuna possible za nguvu kwel!Unai loves the full backs to create and maintain high positions. Kolasinac suspect at getting back. AMN great talent, but still a bit raw. Bellerin and Tierney are perfect, quality at both sides of the game. Together, they'll improve our back 4 and balance of our unit as a whole.
Siunajua michezo ya Arsenal , analipa kwa installment , ila kwenye maslah ya mchezaji ndio anajipanga kumlipa vzrnaskia team za epl zikimtaka pepe, wanataja dau kubwa, kUliko team za Italy! sasa hapo imekuwaje aroon? kuna possible za nguvu kwel!