Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu tuheshimiane, huu ni ushabiki tu..Wewe unamuamini huyo chizi?
Kwaiyo tutarajie nini msimu huu mkuu..?sio ujinga, ana-relate level ya investment tuliyofanya na waliofanya wengine
Wewe jamaa acha upashkunaKwaiyo tutarajie nini msimu huu mkuu..?
Acha kuropoka pumba mm nasema ww ni tahaira .kama sio chizi kwanini ulete kejeri humuMkuu tuheshimiane, huu ni ushabiki tu..
Hapa tumepata mtuAfter just one season in senior football William Saliba already looks like a proper defenderView attachment 1163482
Wewe shoga nani kakuambia Arsenal lazima imsajiri zaha? Kocha wako amesema hasajiri msimu huu umeamua kufanya umalaya kila uziMara ooh ZAHA anaitaka Arsenal, ooh ZAHA sijui nini na Arsenal ,kelele tu na maneno mengi Bajeti ya timu £ 45 ml anyone will go anywhere if the wages are right ,Everton are in talk to sign ZAHA and set to bid £ 60 ml
Unaangaliaga mpira kweli au unaongea tu ? Unaweza kuniambia Toreira anacheza namba ngapi hapo Arsenal? Unaweza kuongea hivo je wajua nani anayefanya tackling,interception, defending hapo Arsenal?Hapo kwenye lineup hamna master wa tackles hata mmoja. Kwenye Midfield huwa lazima awepo Tackles master at least mmoja ambapo kwenu hapo Arsenal huwa ni Xhaka na Gouendouzzi