Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Interesting to see what Emery has planned for him. Will he be ahead of Ozil in his thinking in the No.10 role? Will he play deeper alongside Xhaka? Certainly adds versatility to the squad.View attachment 1160213
Hapana sidhan hivo, emery amesema atamtumia namba 8 na 10, so tukicheza 3-4-1-2 kwenye 4 anakaa RWB LT11 xhaka LWB. ..Nyuma ya washambuliaji wawili ambao ni Auba na laca , anacheza sasa Ozil au Cebalos ,au badala ya xhaka anacheza CEBALOS na LT11 kwenye mfumo wa 4-2-3-1 na namba 10 anabaki OZILThat's why Arsenal have signed him for that purpose.
Ozil atakuwa akitokea bench.
Hapana sidhan hivo, emery amesema atamtumia namba 8 na 10, so tukicheza 3-4-1-2 kwenye 4 anakaa RWB LT11 xhaka LWB. ..Nyuma ya washambuliaji wawili ambao ni Auba na laca , anacheza sasa Ozil au Cebalos ,au badala ya xhaka anacheza CEBALOS na LT11 kwenye mfumo wa 4-2-3-1 na namba 10 anabaki OZIL
Yap kwenye 4-3-3 Ozil hana nafas, na prefer kwenye kiungo kama tunakaba tunawaweka xhaka ,lt11 na CEBALOSSawa kabisa.
Lakini pia endapo Tierney na Zaha watasajiliwa basi line-up ya 4-3-3 haitamhusisha Ozil.
Yaani Zaha atakuwa nyuma ya Lacazette na Aubameyang.
Nyuma yake katikati watakuwa Torreira, Guendouzi na Ceballos.
Mabeki ni Kolasinac, Chambers/ Mustafi, Sokratis na Bellerin
Kipa Leno.
Pesa ya kumsajili, siyo kumsajiri...Mna pesa ya kumsajiri?? W zaha???kwa ile £40mil au???mnapitia kipindi kigumu sana
Kwan tusipomsajiri wewe unaumia nini?mbona unapata tabu sana ,Mna pesa ya kumsajiri?? W zaha???kwa ile £40mil au???mnapitia kipindi kigumu sana
Food for thought to Emery and Gooner fans...Interesting to see what Emery has planned for him. Will he be ahead of Ozil in his thinking in the No.10 role? Will he play deeper alongside Xhaka? Certainly adds versatility to the squad.View attachment 1160213
Watabana watabana wataachia tu, naona Kroenke kafunguwa wallet..!ARSENAL NOT GIVING UP ON ZAHA AS THEY 'WILL MAKE ANOTHER BID THIS WEEK'
Arsenal have not given up on signing Crystal Palace forward Wilfried Zaha and one source has told Sky Sports News they will make another bid this week. Palace are refusing to sell Zaha to the Gunners unless their £80m valuation is met.