Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Good...but kama ni ule mchezo wa kumrudisha back on loan sikubaliani nao kabisa...#AFC | Hopefully we can wrap up the Saliba deal very soon. The last thing we want is Tottenham coming in late on with a matching or improved offer.
Reports have suggested the player prefers Arsenal though, personal terms also agreed so fingers crossed!
Hata yy hautaki,ila saint Etienne wanakomaa hivo, mazungumzo yanaendeleaGood...but kama ni ule mchezo wa kumrudisha back on loan sikubaliani nao kabisa...
Mkuu wameiondoa hii kituAdidas have accidentally uploaded their home kit promo video as unlisted instead of private, if any of you are interested. Great stuff.
- YouTube
Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.t.co
Yap wameiondoaMkuu wameiondoa hii kitu
Mkuu tusitegemee saana maanabu kwa hawa watu!! Labda waje wabadilikie kwetu, ila kwangu nawachukulia kama ni average players, na wanafaa kwa timu hizo hizo, panaweza kuchangamka kweli maana kwangu hawa ni bora zaidi ya iwobi. Lakini si wakutegemea saana kwamba binafsi wataleta matokeo, jamaa ni mzuri kidogo, msumbufu hasa ila ile last touch huwa si nzuri saana labda kama unai atamrekebisha kidogo.Huyu jamaa namkubali sana ,sio huyo Carrasco
Nitafurahi sana akitua huyu MTU,
Tulimuhitaji toka akiwa championship. , Fergie akatupoka , now tuhakikishe anatua Emirates,
Winger ya kushoto itachangamka , View attachment 1141283
Video ya Adidas iliyovuja ,kuhusu Jezi ya ArsenalView attachment 1140652
Ndio hiiNdo hii au nimelishwa tango pori