Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unai is completely foolish, mechi hii sio ya majaribio, kupanga takataka ya misri, na jenkinson wakati wapo wenye mamba
 
Sidhani kama hawa wachezaji wanataka kucheza championa league!
No passion, no urgency, no nothing! Just going through the motions!
 
Mammaee huyu emery aache kutuletea usenge game ya kushinda anatupangia kikosi cha kiwakeee namna hii?πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜‘πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜  na tukipigwa hii game naenda kumtukana kimasai kwenye IG yake mammaee zake.
 
Mkuu Unai anatuletea za Wenger, Tot na Man wamepigwa inatakiwa tushinde hata kwa kupanga kikosi kamili. Namuona kocha nae ni chanzo cha kupigwa.
Baada ya kutokumuona LT kikosi cha kwanza,nikakosa nguvu ya kuiangalia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…