Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usimsifie saaaana kwa sababu mnamtaka na kumfananisha na kina iniesta, ki ujumla ni mchezaji mzuri na dau atakalouziwa litaonesha dhamani yake halisi. ni maoni yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Denis SuΓ‘rez has been left out of the playing squad. He will not feature for Barcelona tonight. [@EduPolo] #AFC


Picha ndio linaanza sasa

Alijumuishwa ,gafla kaachwa,

Tusubiri tuone nini kitatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa morata una mfananisha na mchezaji gani apo arsenal ukimtoa Auba..??

Achaga ushabiki wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
morata ameachwa mbali sana na eddie nketia.......usitake kuufananisha huo upumbavu na kina lacazette kinachombeba yeye ni kuwahi kuchezea vilabu vikubwa kama madrid na juve lakini kwa kiwango chake cha sasa hata giroud hampati
 
Nyie endeleeni kusajili vichezaji vya paund million 20 halafu mtegemee kubeba EPL au FA ..kucheza uefa pia musahau kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
morata umenunua kwa paund milion 70 kakufanyia nini wewe?weka morata na odoi sasa hivi sokoni alafu angalia nani atakimbiliwa..........mtaje mchezaji wa leicester city aliyezidi paund mllion 30 wakati wanatawazwa kuwa mabingwa wa EPL..............?
 
Ni kweli inaweza isiwe factor but kwa namna ulivyomsifia maana yake value yake ipo juu unless ni wa kawaida sana. Ni bahati sana kumpata mchezaji mzuri sana kwa pesa ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
lakini inawezekana ........cha msingi uwe na jicho tu maana kina mahrez,ngolo kante,vardy,madson,drinkwater,loss barkley, hawa wote wamesajiliwa kwa hizo pesa unazoziita ndogo na wana viwango vikubwa kuwapita wengi tu waliosajiliwa kwa pesa kubwa..........

mfano jammie vardy vs morattaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜³
 
Wachezaji wote wanaotamba kwa sasa ligi nyingi walitazamwa kwa jicho kubwa. Usipokuwa na uwezo huo ni shida. Man United walimtoa pogba akajiondokea tu lakn alienda kuvuma wakamfuata kwa kuvunja rekodi ya usajili.
Arsenal wana bahati ya kuwa na macho sana. Wachezaji wengi waliowasajili dirisha dogo wengi kwa sasa wamepanda ktk soko wanauzika bei juu.
Hii inasaidia sana ktk bajeti na biashara. Kikubwa ni uwepo wa mwalimu mzuri wa soka.
With Unai Emery everything is possible.
We are the GUNNERS forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko vizuri, tunaendelea vizuri, wale haters wanapoteza wakati wao tu..
Swala ni Board of Directors kum-support Emery tu, pesa ipo, tatizo nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…