...BAK, KKN, leteni utabiri wa leo...!
recently Hull City wamekuwa wanarudi kinyume nyume utadhani gari la tela,... mpaka sasa Hull pamoja na nafasi nzuri waliyopo, ni team inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi, mfumo wao upo more suitable kwa mashambulizi ya Arsenal. Walipotufunga ilikuwa nguvu ya 'pepsi?'
mcheza kwao hutunzwa, lakini Arsenal ya mwaka huu imekuwa more consistent na ushindi wa ugenini kuliko nyumbani 'Imirati'. Boo-Boys wanatusumbua sana pale 75 Drayton Park London.