Mfuate Jecha Hapo Mitaa ya kibanda Maiti Zanzibar Aangalie namna ya kusawazisha matokeo
Hahhahhaa
Sent From My Nokia Ya Tochi
Lacazette amenyimwa goli Jana. Bellerin kanyimwa penalty. It's us against the world.
Na bado utamkimbia hadi mkeo
Kwani huyo Conte ameanza kutabiliwa leo ataondoka si tangu msimu uliopita.Acha mbwembwe wewe, kwani mlianza mkiwa na wachezaji 9? kabla ya kupewa kadi nyekundu mlikuwa mnaongoza kwa goli ngapi?
Kubali tu kuwa mwaka kuna uwezekano mkubwa wa kumtimua Conte.
Haya yamekujaje sasa?Calculations :
P. Cech=> free
Monreal=>2m
Kosielny=>5
Bellarin =>3m
Mustafi =>30m
Chambalain =>7m
Holding =>3m
Ramsey =>8m
Welbek=>free
Ozil =>40m
Lacazate =>44m
Xakha=>18
Walcott =>4
Giroud =>6m
Sanchez =>38m
Total ==>208m
Neymar =>222m
Is this fair?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo likizo
Hesabu ya jumla kwa wachezaji woooote hailingani na hesabu ya mchezaji mmoja tuuuHaya yamekujaje sasa?
Calculations :
P. Cech=> free
Monreal=>2m
Kosielny=>5
Bellarin =>3m
Mustafi =>30m
Chambalain =>7m
Holding =>3m
Ramsey =>8m
Welbek=>free
Ozil =>40m
Lacazate =>44m
Xakha=>18
Walcott =>4
Giroud =>6m
Sanchez =>38m
Total ==>208m
Neymar =>222m
Is this fair?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado utamkimbia hadi mkeo
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Haya yamekujaje sasa?
Kwakweli ila mpira. Siku refa anaamua kuwaua kabisa kimchezo. Bado tunasafari ndefu mechi bado 36Lacazette amenyimwa goli Jana. Bellerin kanyimwa penalty. It's us against the world.
Duh! jamani kwani tukichukua nafasi hii kwa kuwafariji tu na kuondoa itakuwaje! haya mambo ya kuanza kukokotoa hisabati yanatoka wapi?Hesabu ya jumla kwa wachezaji woooote hailingani na hesabu ya mchezaji mmoja tuuu
Pole. Ligi ya ujerumani na Italy wameshaanza kutumia mfumo wa video assistant referee katika kufanya maamuzi pindi ikitokea utata.Kwakweli ila mpira. Siku refa anaamua kuwaua kabisa kimchezo. Bado tunasafari ndefu mechi bado 36
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hasidi asivyo na sababu hapo nimekuelewaMkuu kwani mchawi anapoamua kukuroga unafikiri anakuwa na sababu? ni roho mbaya tu.
Kweli kabisa. Alexis akirudi ataongeza nguvu kwenye timuKwakweli ila mpira. Siku refa anaamua kuwaua kabisa kimchezo. Bado tunasafari ndefu mechi bado 36
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool hawatuumizi vichwa, kwani Mpira wao ni tofauti na wale wacheza rubgy waliobebwa na refaWenger anawasalimia anawapenda sana kuniambia niwakubushe mechi ijayo mnacheza na Liverpool mkae karibu na drip
Yeah akirudi tunajiakikishia ubingwa kabisa au siyo.....#Msarendo#.Kweli kabisa. Alexis akirudi ataongeza nguvu kwenye timu