Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger akitaka mafanikio gemu hii Giroud aingie badala ya Walcott au Welbeck wanaonekana mzigo leo
 
Pande la Zaha lilikuwa ni kross na Cabaye akaunganishia kipa wa Arsenal alijaribu kuufuata lakini ulikuwa mbali naye
 
chelsea alilala kwa hawa majaa, kwa hiyo uwezekano wa Arsenal kula kichapo ni mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…